MUNGU ANATAKA UNUFAIKE NA TAABU YAKO (Video)
Unajua kuna watu wana bidi ya kazi lakini hawanufaiki na jasho lao? Unajua roho ya ‘chuma-ulete’ haikuzuii kupata pesa bali inakuzuia kunufaika nazo?
Lawi Mshana,
0712-924234
MUNGU ANATAKA UNUFAIKE NA TAABU YAKO (Video)
Unajua kuna watu wana bidi ya kazi lakini hawanufaiki na jasho lao? Unajua roho ya ‘chuma-ulete’ haikuzuii kupata pesa bali inakuzuia kunufaika nazo?
Lawi Mshana,
0712-924234
Kupitia jukwaa hili (www.lawimshana.com) utajengewa uwezo kiroho, kimahusiano, kiakili na kiuchumi na kuunganishwa na majukwaa mengine ya mtandaoni kama vile Facebook, Tiktok na Youtube. Mungu amempa Dkt. Lawi Mshana wito wa kujengea uwezo watu binafsi na jamii kupitia warsha, makala, vitabu, video na audio. Walengwa wakuu ni viongozi, wajasiriamali, wanandoa, vijana na watu wanaoishi katika mazingira hatarishi. Anashirikiana kwa karibu na mke wake pamoja na watumishi mbalimbali. Through this platform (www.lawimshana.com), you will be empowered spiritually, relationally, mentally, and economically and connected to other online platforms such as Facebook, TikTok, and YouTube. God has called Dr. Lawi Mshana to empower individuals and communities through workshops, articles, books, videos, and audio. The main beneficiaries are leaders, entrepreneurs, couples, young people, and the most vulnerable. He works closely with his wife and other development partners.
|