Ticker

6/recent/ticker-posts

Take advantage of our new website and app features (Nufaika na vipengele vipya vya tovuti na app yetu) - video na maandishi




 Vipengele Vipya vya Tovuti na App Yetu (See the English translation below)

1. Unaweza kuipata kwa kutafuta mtandaoni (Google search) kwa kuandika Lawi Mshana au www.lawimshana.com ambapo utaona kichwa cha FAITH AND COMMUNITY EMPOWERMENT.

2. Ukiingia utaona namna mbalimbali za kunufaika nayo kama ifuatavyo:

·        Contact Us (Wasiliana Nasi) – hapa unaandika majina yako, anuani yako ya barua pepe na ujumbe wako. Nitaupata ujumbe wako moja kwa moja KIBINAFSI na kukujibu KIBINAFSI kupitia barua pepe yako. Unaweza kutoa maoni, ushauri au kuuliza swali lolote.

·        Search this blog (Tafuta makala) – hapa unaweza kuandika neno lolote ili kupata makala zinazozungumzia jambo hilo. Mfano, ukiandika, JAMII utaweza kuona kwa haraka makala za masuala ya kijamii nk

·        Subscribe (Jisajili) – hapa ukiandika anuani yako ya barua pepe, utatumiwa email kila makala mpya inapotumwa mtandaoni. Hutakuwa na haja ya kutafuta kupitia mitandaoni.

·       Translate (Tafsiri) – hapa utachagua lugha ambayo unataka makala uliyochagua itafsiriwe. Mfano, kama makala ni ya kingereza na wewe hujui, unaweza kutafsiriwa kwa nyingine uliyoichagua kv Kiswahili nk. Ziko lugha za mataifa mengi. Hata hivyo tafsiri inaweza kutokuwa sahihi sana kwa vile inatafsiriwa na mifumo ya kiteknolojia (AI au Akili Mnemba) na sio mwanadamu anayejua muktadha wa maneno yaliyotumika.

·        Recent posts – show more (makala mpya – onyesha zaidi) – Hapa utaona makala 3 za siku za karibuni. Kila moja itaonekana kwa sehemu. Ukibofya neno ‘show more’ itafunguka yote ili uweze kuisoma yote.

·        Download App yetu – Hapa utaweza kupakua APP yetu ambayo itakurahisishia kuingia katika majukwaa yetu mengine mtandaoni. Ukiipakua itaonekana kama sio salama kwa vile hatujaisajili Play Store bali tumeisajili Amazon Appstore. Utaweza kuingia kirahisi katika Tovuti, Youtube, Tiktok, Pinterest na kudownload audio na video bure (vyote kwa pamoja).

·        Subscribe Youtube & TikTok – Utaweza kuingia moja kwa moja kwenye channel yangu ya Youtube na TikTok.

Karibu sana ujengewe uwezo kiroho na kijamii bila kulipia gharama yoyote.

Dr. Lawi Mshana, +255712924234; Tanzania

Our New Website and App Features

1. You can find it by searching online (Google search) by writing Lawi Mshana or www.lawimshana.com where you will see the title FAITH AND COMMUNITY EMPOWERMENT.

2. When you enter, you will see various ways to benefit from it as follows:

     Contact Us – here you write your name, email address, and message. I will get your message directly PERSONALLY and reply to you PERSONALLY via your email. You can give comments, advice, or ask any question.


Search this blog (Search for articles) – here you can type any word to find articles explaining it in detail. For example, if you write, SOCIAL, you will find articles on social issues, etc quickly.


     Subscribe – When you fill in your email address here, you will be AUTOMATICALLY emailed whenever a new article is posted online. You will not need to search it every time.

Translate – You will select the language you prefer. For example, if the article is in Swahili and you don't know it, it can be translated into the language of your choice. There are languages from different nations. However, the translation may not be accurate since it is translated by technological systems (AI or Artificial Intelligence) and not by a human who knows the context of the words.


      Recent posts – show more – You will see 3 recent articles. Each article is only displayed in part. If you click on the word 'show more' it will open up so you can read all the content.

Download our App – You will download our App (LAWI MSHANA APP) to make it easier for you to access other online platforms we manage. If you download it, you will be warned that it may be harmful. Ignore it because we registered it in the Amazon App Store instead of the Play Store. You will easily access the website, YouTube, TikTok, and Pinterest and download audio and video for free (under one roof).


      Subscribe to YouTube & TikTok – It will link you directly to my YouTube and TikTok channels.

 

Welcome for spiritual and social empowerment without paying any cost.

      Dr. Lawi Mshana, +255712924234; Tanzania