UNAJUA KWANINI HUPATI ‘MLANGO WA KUTOKEA’ KATIKA MAJARIBU?
(DO YOU KNOW WHY YOU DON’T FIND ‘A WAY OF ESCAPE’ IN TEMPTATIONS?) – Short Swahili
video with English subtitle
Maswali ya kujiuliza
(Rhetoric questions):
Unajua unashughulika zaidi na mapepo na kusahau falme za
giza? (You know you are more concerned with demons and forget the kingdoms of
darkness?)
Unajua kuna falme maalum za giza zinazotawala katika miji,
vijiji na hata ukoo? (Do you know there are special kingdoms of darkness ruling
cities, villages and even clans/lineages?)


