Video link: Kwanini vijana wanahitaji kujengewa uwezo
3. Why do youth need empowerment
(Kwanini vijana wanahitaji kujengewa uwezo)
1. Youth lack experience with skills about employment, money, entrepreneurship, and starting institutions.
2. Youth need knowledge, skills, attitude, character, assertiveness, a network, people to speak on their behalf, and access to services.
3. Youth need to know their role, the role of the schools or colleges they attended, and the role of organizations.
3. Kwanini vijana wanahitaji kujengewa uwezo
1. Vijana hawana uzoefu wa ujuzi kuhusu ajira, pesa, ujasiriamali na kuanzisha taasisi.
2. Vijana wanahitaji maarifa, ujuzi, mtazamo, tabia, uthubutu, mtandao, watu wa kuwasemea na upatikanaji wa huduma
3. Vijana wanahitaji kujua jukumu lao, jukumu la shule au vyuo walivyosoma na jukumu la mashirika.
Dr. Lawi Mshana, Beyond Four Walls, +255-712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania
Tunasaidia watoto, vijana na watu wanaoishi mazingira hatarishi - nguo, mafunzo, malezi.
Kupitia jukwaa hili (www.lawimshana.com) utajengewa uwezo kiroho, kimahusiano, kiakili na kiuchumi na kuunganishwa na majukwaa mengine ya mtandaoni kama vile Facebook, Tiktok na Youtube. Mungu amempa Dkt. Lawi Mshana wito wa kujengea uwezo watu binafsi na jamii kupitia warsha, makala, vitabu, video na audio. Walengwa wakuu ni viongozi, wajasiriamali, wanandoa, vijana na watu wanaoishi katika mazingira hatarishi. Anashirikiana kwa karibu na mke wake pamoja na watumishi mbalimbali. Through this platform (www.lawimshana.com), you will be empowered spiritually, relationally, mentally, and economically and connected to other online platforms such as Facebook, TikTok, and YouTube. God has called Dr. Lawi Mshana to empower individuals and communities through workshops, articles, books, videos, and audio. The main beneficiaries are leaders, entrepreneurs, couples, young people, and the most vulnerable. He works closely with his wife and other development partners.