Ticker

6/recent/ticker-posts

2. Benefits of volunteering in NGOs with living examples (Faida za kujitolea kupitia NGO na mifano hai)


 Video link: Faida za Kujitolea

2. Benefits of volunteering in NGOs with living examples

(Faida za kujitolea kupitia NGO na mifano hai)

1. You give back to the community that brought you to where you are now.

2. You showcase your skills, experiences, and work within the community.

3. You build a network with important individuals in your life.

4. You support government efforts to reach out to special groups.

5. You enhance your profile for your current and future life.

6. You spend your spare time doing something that brings you joy (hobby).

2. Faida za kujitolea kupitia NGO na mifano hai

2. Faida za kujitolea kupitia NGO na mifano hai

1. Unarudisha shukrani kwa jamii iliyokufikisha hapo ulipo.

2. Unatambulisha ujuzi, uzoefu na kazi zako katika jamii.

3. Unatengeneza mtandao wa watu muhimu katika maisha yako.

4. Unaunga mkono juhudi za serikali katika kufikia makundi maalum.

5. Unatengeneza wasifu wako kwa ajili ya maisha yako ya sasa na ya baadaye.

6. Unatumia muda wako wa ziada katika kufanya jambo linalokupa furaha ya moyo (hobby).

Dr. Lawi Mshana, Beyond Four Walls, +255-712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania