Ticker

6/recent/ticker-posts

TODAY WE DEDICATED OUR SPIRITUAL AND SOCIAL CENTER IN DODOMA (LEO TUMEWEKA WAKFU KITUO CHETU CHA KIROHO NA KIJAMII JIJINI DODOMA)


TODAY WE DEDICATED OUR SPIRITUAL AND SOCIAL CENTER IN DODOMA

(LEO TUMEWEKA WAKFU KITUO CHETU CHA KIROHO NA KIJAMII JIJINI DODOMA)

We want to welcome you to our Ebenezer Center, located in Dodoma City. Today, we dedicated the pastor and his wife, as well as the ministry building. We also provide community-based services through our NGO.

LEO TUMEWEKA WAKFU KITUO CHETU CHA KIROHO NA KIJAMII JIJINI DODOMA

Tunapenda kukukaribisha kwenye kituo chetu cha Ebenezer, ambacho kiko, Jijini Dodoma. Leo tumemweka wakfu mchungaji na mke wake pamoja na jengo la huduma. Tunatoa pia huduma za kijamii kupitia NGO yetu.

Dr. Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania