Ticker

6/recent/ticker-posts

GOD BLESS YOU FOR YOUR DONATION FOR THE NEEDY (MUNGU AWABARIKI WOTE KWA UTOAJI WENU KWA AJILI YA WAHITAJI)





 GOD BLESS YOU FOR YOUR DONATION FOR THE NEEDY (MUNGU AWABARIKI WOTE KWA UTOAJI WENU KWA AJILI YA WAHITAJI)

Thank you for partnering with our NGO, Beyond Four Walls, by donating your in-kind items to people living in vulnerable environments. Today we spoke with women in the Bagamoyo ward office hall about the uniqueness and value of women, and then provided them with clothes and transport. We appreciate the Bagamoyo ward office for helping us to identify vulnerable women and complementing our efforts in capacity building through training.

These women, most of whom are very elderly, have spoken words of blessing to all who generously donated clothes and money for them.

We welcome your collaboration this year to reach out to the community without discrimination.

MUNGU AWABARIKI WOTE KWA UTOAJI WENU KWA AJILI YA WAHITAJI

Tunawashukuru wote mnaoshirikiana na shirika letu la Beyond Four Walls kwa kutoa vitu vyenu kwa ajili ya watu wanaoishi mazingira hatarishi. Leo tumeongea na wanawake katika ukumbi wa ofisi ya kata ya Bagamoyo kuhusu upekee na thamani ya mwanamke pamoja na kuwapatia nguo na nauli. Tunashukuru sana ofisi ya kata kwa ushirikiano wao katika kutusaidia kuwatambua wanawake wahitaji na kisha kushirikiana nasi katika kuwajengea uwezo kwa mafunzo.

Wanawake hawa, ambao wengi wao ni wazee sana, wametamka maneno ya kuwabariki wote waliotoa nguo na fedha tulizowapatia.

Karibu sana ushirikiane nasi katika mwaka huu kwa ajili ya kuifikia jamii bila ubaguzi wowote.

Dr Lawi Mshana, Mkurugenzi Mtendaji BFW, +255712924234, Tanzania