Implementing an Empowered Worldview (Utekelezaji wa Mtazamo Chanya wa Maisha)
We have a responsibility to use the resources around us to transform our lives. We can overcome dependency by being creative and taking calculated risks.
Utekelezaji wa Mtazamo Chanya wa Maisha
Tuna wajibu wa kutumia raslimali zinazotuzunguka katika kubadilisha maisha yetu. Tunaweza kushinda utegemezi kwa kuwa wabunifu na kuchukua hatua za uhatarishi zenye mahesabu.
Dr Lawi Mshana, Facilitator, +255712924234
Tunasaidia watoto, vijana na watu wanaoishi mazingira hatarishi - nguo, mafunzo, malezi.
Kupitia jukwaa hili (www.lawimshana.com) utajengewa uwezo kiroho, kimahusiano, kiakili na kiuchumi na kuunganishwa na majukwaa mengine ya mtandaoni kama vile Facebook, Tiktok na Youtube. Mungu amempa Dkt. Lawi Mshana wito wa kujengea uwezo watu binafsi na jamii kupitia warsha, makala, vitabu, video na audio. Walengwa wakuu ni viongozi, wajasiriamali, wanandoa, vijana na watu wanaoishi katika mazingira hatarishi. Anashirikiana kwa karibu na mke wake pamoja na watumishi mbalimbali. Through this platform (www.lawimshana.com), you will be empowered spiritually, relationally, mentally, and economically and connected to other online platforms such as Facebook, TikTok, and YouTube. God has called Dr. Lawi Mshana to empower individuals and communities through workshops, articles, books, videos, and audio. The main beneficiaries are leaders, entrepreneurs, couples, young people, and the most vulnerable. He works closely with his wife and other development partners.