Ticker

6/recent/ticker-posts

FAHAMU KUSUDI LA MUNGU KWAKO KWA USAHIHI ZAIDI - VIDEO

Mungu hakukuumba ufanane na wanyama. Ana kusudi maalum na wewe ambalo siku ya mwisho atakuuliza kama ulilitimiza. Hakukuleta duniani kwa ajili ya maisha yako mwenyewe. Ujumbe huu mfupi wa video utakusaidia.