Click this link KTC Needs Assessment Report
Una maono ya kusaidia kutatua changamoto za wanafunzi, vijana wa nje ya shule (out-of-school youth) na walimu? Soma ripoti ya tathmini ya mahitaji (needs assessment report) tuliyoifanya (Beyond Four Walls) mwaka 2022 katika Halmashauri ya Mji Korogwe ili upate pa kuanzia.