Ticker

6/recent/ticker-posts

WATASHINDANA NAWE HAWATAWEZA - CLIP YA VIDEO, MAMA LAWI


 BAADA YA KIKAO CHA VIONGOZI WA DINI LEO TULITEMBELEA MARAFIKI WAPYA

Tukiwa kwenye kikao cha viongozi wa dini tuligundua mmoja wa wajumbe ana mkutano wa Injili. Hivyo jioni tulitembelea kanisa hilo la Philadelphia Gospel Assembly kuwatia moyo. Mama Lawi aliimba wimbo wa Album yake unaosema WATASHINDANA NA WEWE LAKINI HAWATAWEZA. (Kuna mpendwa alichukua kipande hiki kifupi tukiwa mkutanoni)

Follow blog hii na ku-download App yangu ili iwe rahisi zaidi kwako.