Ticker

6/recent/ticker-posts

Jitambulishe watu wajue uwezo wako (video na maandishi)

Jitambulishe watu wajue uwezo wako (Angalia video kwa kubofya hapa)

JITAMBULISHE WATU WAFAHAMU UWEZO WAKO
Tunawajengea uwezo wanafunzi na vijana wa nje ya shule. Tambulisha ujuzi wako rasmi na usio rasmi ili iwe rahisi kuunganishwa na fursa zinapojitokeza. Lakini pia wewe unayependa kushauri na kujengea uwezo vijana unakaribishwa.
Kumbuka kuna watu wanahitaji mtu kama wewe lakini hawajui kwamba upo.
Angalia tangazo letu la ofisi ndogo iliyoko katika vibanda vya Stendi Kuu ya Mabasi Korogwe.
Karibu sana.