Ticker

6/recent/ticker-posts

TOFAUTI YA MWANAMUME NA MWANAMKE KATIKA MACHO YA MUNGU (Video)

TOFAUTI YA MWANAMUME NA MWANAMKE KATIKA MACHO YA MUNGU (Video) 

Unajua kwanini wanawake wengi hata wenye uwezo wanapenda pesa za mume ndizo zihudumie familia? Unajua kwa nini mwanamke hakuumbwa kutoka katika udongo kama Adamu? Fuatilia na kufanyia kazi ujumbe huu.

“Follow” ukurasa huu ili uendelee kupata taarifa za mafunzo mbalimbali kwa video na maandishi.

Lawi Mshana, +255 712-924234 (Whatsapp)