Ticker

6/recent/ticker-posts

SASA UNAWEZA KU-DOWNLOAD VIDEO ZA NYIMBO ZA INJILI BURE KATIKA APP YETU



SASA UNAWEZA KU-DOWNLOAD VIDEO ZA NYIMBO ZA INJILI BURE KATIKA APP YETU

Ukiwa na App yetu sasa unaweza kupakua video za nyimbo za Injili bure na kuendelea kuzifurahia hata kama huna kifurushi.

Bofya mahali palipoandikwa “Watch and Download Video”. Hapo utaweza kuachagua kuangalia hapohapo au kudownload ili uangalie kwa wakati wako au uhamishie kwenye flashi.

Lakini pia ni rahisi kwako kuingia kwenye majukwaa mengine kama vile Blog yenye masomo ya kiroho na kijamii zaidi ya 200.

Kumbuka kutoa maoni yako kuhusu huduma hii.

Barikiwa.

Kiungo cha kupata App hii kinapatikana hapahapa kwenye Blog hii.

Dr. Lawi Mshana, +255712924234; Korogwe, Tanga, Tanzania

NOW YOU CAN DOWNLOAD GOSPEL MUSIC VIDEOS FOR FREE IN OUR APP

 

With our App, you can now download Gospel music videos for free and continue to enjoy them even if you are offline.

 

Click on the menu button, "Watch and Download Video". You can choose to watch it or download it so you can watch it on your own time or transfer it to a Flash drive.

 

But it is also easy for you to enter other platforms such as the Blog with more than 200 spiritual and social articles.

 

The App link is right here in this Blog.

 

Blessings.

 

Dr. Lawi

Mshana, +255712924234; Korogwe, Tanga, Tanzania