Video: HUYU MAMA ALITUPIWA MAGONJWA ILI BIASHARA YAKE IFE
THIS LADY WAS BEWITCHED TO BE SICK SO
THAT HER BUSINESS WOULD FAIL
(HUYU MAMA ALITUPIWA MAGONJWA ILI
BIASHARA YAKE IFE)
After the sermon, this lady came to the altar for prayer. She
told me that she had a fever for several days. I saw in the spirit that it was
not the common fever, but she was bewitched, so her business would fail. As
soon as I laid my hand on her, the demons manifested and knocked her down.
She had to sign up for the Healing Clinic session and return
in the evening. She told us that a certain lady told her why only she was
successful in their neighborhood. After those demonic words, she started
feeling bad and she didn't know she was already bewitched.
Nothing is impossible with God.
Baada ya kipindi cha mahubiri, huyu mama alipita mbele
madhabahuni kwa ajili ya maombi. Aliniambia anaumwa homa kwa siku kadhaa. Katika
roho nikaona kwamba haumwi homa ya kawaida bali wachawi kumloga ili biashara
yake ianguke. Nilipomuwekea mikono mapepo yakajidhihirisha na kumuangusha
chini.
Ilibidi asajiliwe kwenye kipindi cha Kliniki ya Uponyaji na
kurudi jioni. Akatuambia kwamba kuna mwanamke alimuambia kwnini ni yeye tu
anafanikiwa katika mtaa wao. Baada ya hapo akaanza kuumwa na hakujua tayari
amelogwa.
Hakuna lisilowezekana kwa Mungu.
Dr. Lawi Mshana, 0712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania
Please
send your love gift to support this ministry. +255 712924234 or CRDB Bank; Account
Name: Lawi E. Mshana; Account
Number: 0152219784300; Swift
Code: CORUTZTZ