HOW TO BECOME A TRUSTWORTHY AND DEPENDABLE PERSON (JINSI YA KUWA MTU ANAYEWEZA KUTUMAINIWA NA WATU)
2. Be someone who encourages and uplifts others.
3. Choose to see and believe in the good in people.
4. Support others in achieving their goals and succeeding.
5. Equip and prepare people for what lies ahead.
JINSI YA KUWA MTU ANAYEWEZA KUTUMAINIWA NA WATU
1. Tambua tabia katika maisha yako unazotaka uwe nazo mf kujali muda, kutunza ahadi, matumizi mazuri, kulipa au kupunguza madeni nk
2. Uwe mtu anayetia moyo
3. Amini mazuri ya wengine
4. Saidia wengine wafanikiwe
5. Andaa watu kwa ajili ya baadaye
6. Kuwa mwadilifu – uadilifu (integrity) ni kuwa mtu yuleyule kwenye maisha binafsi na mbele za watu (private and public life). Integer – namba kamili ambayo sio sehemu (fraction) wala desimali.
Dr. Lawi Mshana, Facilitator and Mentor, +255712924234, Tanzania


