Ticker

6/recent/ticker-posts

Stop saying negative things about your children to the wrong people (Usiwaseme watoto wako kwa watu ambao sio sahihi)

Video link: Usiwaseme watoto wako kwa watu ambao sio sahihi

Stop saying negative things about your children to the wrong people

(Usiwaseme watoto wako kwa watu ambao sio sahihi)

Talk about the good things your children do. Don't speak negatively about them to others. When you criticize your life partner, you open the door to negativity in your relationship. Discuss your child's weaknesses with the appropriate person who can help. We often don't seek the right individuals to address our challenges. You must first ensure that the person you're asking has succeeded or is capable of resolving the issue you face.

Usiwaseme watoto wako kwa watu ambao sio sahihi

Waseme watoto wako vizuri. Usipende kuwasema vibaya kwa watu wengine. Hata mwenzi wako wa maisha ukimsema vibaya unafungua milango ya shetani katika uhusiano wenu. Sema udhaifu wa mtoto wako kwa mtu sahihi ambaye anaweza kumsaidia. Hatuna tabia ya kutafuta mtu sahihi wa kumuuliza kuhusu changamoto zetu. Lazima ujiridhishe kwanza kwamba unayemuuliza amefanikiwa au ana uwezo wa jambo unalotafuta ufumbuzi kutoka kwake.

Dr Lawi Mshana, Facilitator and Mentor, +255712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania