Ticker

6/recent/ticker-posts

Invitation to a seminar on spiritual and economic empowerment, Ntenga, Same

Video link: Mwaliko wa semina ya upenyo wa kiroho na kiuchumi, Ntenga, Same

Invitation to a seminar on spiritual and economic empowerment, Ntenga, Same

Servant of God Dr. Lawi Mshana and his team from Tanga, bring you a seminar on spiritual and economic breakthrough. It will take place from Sunday, August 31st, to Sunday, September 7th, 2025, at 3:30 pm daily at TLMC Church. The TLMC church building is located near the house of the Headmaster of Ntenga Secondary School.

Counseling, intercession, and Q&A services will also be provided.

Choirs and Gospel singers will also minister.

People of all faiths are welcome.

Mwaliko wa semina ya upenyo wa kiroho na kiuchumi, Ntenga, Same

Mtumishi wa Mungu Dokta Lawi Mshana na timu yake kutoka Tanga, wanakuletea semina ya upenyo wa kiroho na kiuchumi. Ni Jumapili hii tarehe 31 Agosti hadi tarehe 7 Septemba 2025, saa 9.30 kila siku katika kanisa la TLMC ambalo liko karibu na nyumba ya mkuu wa shule ya sekondari Ntenga,

Huduma ya ushauri, maombezi na maswali na majibu, pia itatolewa.

Kwaya na waimbaji binafsi watahudumu.

Watu wa dini zote mnakaribishwa.