Ticker

6/recent/ticker-posts

No. 5. The finished work of Christ (Kazi aliyomaliza Kristo msalabani) – Online Conference

Video link:  Na. 5. Kazi aliyomaliza Kristo msalabani

No. 5. The finished work of Christ (Kazi aliyomaliza Kristo msalabani) – Online Conference

Many of us are unaware of the importance of using the blood of Jesus. A former devil worshiper once said that when they wanted to attack a Christian, they defeated him if he did not use the blood of Jesus, did not pay tithes, and did not fast. This means that we have authority if we live the Christian life. 

When Jesus said, ‘It is finished,’ He meant that the Old Covenant had ended and the New Covenant had begun! Mark 15:38 “And the veil of the temple was torn in two from top to bottom.” The New Covenant started when the veil of the temple was torn. Now we can enter the Holy of Holies by the blood of Jesus.

Kazi aliyomaliza Kristo msalabani

Wengi wetu hatujui umuhimu wa kutumia damu ya Yesu. Mtu fulani aliyewahi kuwa mwabudu shetani aliwahi kusema kwamba walipotaka kumvamia Mkristo walimshinda kama hatumii damu ya Yesu, hatoi zaka na hafanyi maombi ya kufunga. Hii ina maana kwamba tunakuwa na mamlaka kama tunaishi maisha ya Kikristo.

Yesu aliposema, ‘Imekwisha’ alimaanisha kwamba Agano la Kale limekoma na Agano Jipya limeanza! Marko 15:38 “Pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini.” Agano Jipya lilianza pale pazia la hekalu lilipopasuka. Sasa tunaweza kuingia patakatifu pa patakatifu kwa damu ya Yesu.

Dr. Lawi Mshana, Facilitator and Public Speaker, +255712924234, Tanzania